yanga

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga wanatupa kete yao dhidi ya Dodoma Jiji, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza namna hii:-

 • Djigui Diarra
 • Fred
 • Nondo
 • Bacca
 • Maxi
 • Kibabage
 • Sure Boy
 • Mudathir Yahya
 • Mzize
 • Aziz KI
 • Okra

Hawa hapa wachezaji wa akiba wa Yanga

Mshery, Kibwana, Farid, Aucho, Mkude, Shekhan, Makudubela, Nkane, Guede.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here