Simba Coastal Union

WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tayari wapo ndani ya jiji la Dar.

Timu hiyo ilikuwa nchini Misri kwa ajili ya mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezo wa pili ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri ambao ni mabingwa watetezi.

Ipo wazi kuwa timu zote mbili za Tanzania zimegotea kwenye hatua ya robo fainali ikiwa ni pamoja na Yanga iliyoondolewa na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here