Abdelhak Benchikha

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema kwamba mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inahitaji uzooefu mkubwa ili kuweza kufanya vizuri

“Tumecheza na timu yenye uzoefu hata sehemu kubwa ya wachezaji wao wana uzoefu wa CAFCL. Kule tulicheza vizuri hasa kipindi cha kwanza tulicheza vizuri sana japo tulikosa nafasi mbili za magoli kipindi cha kwanza, na kipindi cha pili tuliruhusu bao dakika ya pili tu, ligi ya CAFCL sio kama mechi za ligi inahitaji uzoefu pia hasa hatua kama hizi uzoefu pia unachangia kwa wachezaji.” amesema Benchikha

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here