Geita Gold

Klabu ya Geita Gold imetoa taarifa ya tukio lililomkuta mchezaji wao Geofrey Rafael (Geofrey Muha) siku ya jana tarehe 19-Feb-2024 la kutekwa na kushambuliwa na watu asiowafahamu, huku taarifa ikieleza kuwa Geofrey ameshambuliwa na vitu vyenye ncha kali ambavyo vili pelekea majeraha sehemu mbali mbali za mwili wake.

Geofrey ambaye kwa sasa yupo hospitali chini ya uangalizi maalumu, Huku Jeshi la polisi tayari limechukua hatua na uchunguzi wa tukio hilo ukiwa unaendelea.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here