JKT Tanzania imelazimisha sare ya 0-0 na Namungo leo katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.

Matokeo haya ya sare yanaifanya JKT Tanzania kufikisha pointi 17 nafasi ya 11 huku Namungo ikipanda hadi nafasi ya 8 na pointi 19.

Mechi ijayo ya JKT Tanzania ni dhidi ya Yanga katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na Namungo itavaana na KMC Februari 24.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here