Kocha wa timu ya Taifa ya Zambia Avram Grants amewajumuisha wachezaji wawili wa klabu ya Yanga Kennedy Musonda na Clatous Chama kwenye kikosi cha wachezaji 26 kwaajili ya michezo ya kuwania kufuzu kombe la mataifa Afrika (AFCON 2023).
Zambia itacheza michezo miwili ya kimataifa ya kuwania kufuzu AFCON 2025 kundi G, dhidi ya Ivory Coast septemba 6 2024 na nyingine dhidi ya Sierra Lione septemba 10.