Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemfungia mechi nane Kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche kutokana na kauli zake kuwa Morocco ina ushawishi ndani ya CAF katika upangaji wa mechi pamoja na waamuzi.

Kufuatia uamuzi huo, Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) limemsimamisha kocha huyo na kumteua Kocha Hemed Morocco kusimamia timu akisaidiana na Kocha Juma Mgunda.

Sasa timu wamepewa wazawa wote

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here