KITAIFA

SIMBA DHIDI YA KMC KUPIGWA KESHO MWENGE

BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imefanya maboresho ya ratiba ambapo mchezo wa Ligi Kuu namba 82 kati ya Simba Sc dhidi ya KMC Fc uliokuwa uchezwe Jumanne Novemba 5, 2024 katika dimba la KMC Complex sasa utapigwa siku ya Jumatano, Novemba 6, 2024 katika dimba hilo hilo.

Aidha TPLB imefanya mabadiliko mengine ambapo mchezo namba 89 wa Simba Sc dhidi ya Pamba Jiji ambao ulipangwa upigwe Novemba 21 sasa utapangiwa tarehe nyingine.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button