Maneno ya Staa wa zamani wa Manchester United na Timu ya Taifa la Ufaransa, Poul Pogba.
– “Sote sisi ni binadamu na tunahisia, baada ya kufungiwa na FIFA ndipo nilifahamu uhalisia wa maisha..”
“Nilipokuwa sijafungiwa kila Mtu alinijua kama Poul Pogba, Mchezaji Maarufu tena niliyeisaidia Ufaransa kutwaa kumbe la Dunia 2018, lakini baada ya kufungiwa tu baadhi ya watu niliozani ni wakaribu kwangu na wenye msaada ndio walikuwa wakwanza kunikataa…”
“Ilikuwa haipiti wiki sijapata mualiko wa kwenda kwenye kumbi kubwa na maarufu za maonesho ya mavazi (Fashion) lakini baada ya changamoto wote walisitisha kuniita na nilipojaribu kuuliza niliambiwa hawawezi kunialika siwafai”
“Marafiki zangu nao hawakuwa wakinipigia Simu kama ilivyokuwa awali.”