KITAIFA

FEISAL SALUM AGOMEA KUSAINI MKATABA MPYA AZAM

Tetesi zinaeleza kuwa kiungo wa Azam FC, Feisal Salum Abdallah amegomea kufanya mazungumzo na klabu hiyo juu ya kuongeza mkataba mpya ndani ya viunga vya Chamazi Complex.

Nyota huyo alisaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Azam FC ambapo Kwa sasa mkataba wake umesalia mwaka mmoja na miezi kadhaa hivyo viongozi wa timu walitaka kumsainisha mkataba mpya.

Azam FC wanataka kumfanya Faila Sufi mchezaji anaelipwa zaidi kwenye NBC Premier League huku Simba SC wakitajwa kuiwinda saini nyota huyo timu ya ‘Taifa Stars’.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button