KITAIFA

CHAMA KUMPIGIA SALUTI AZIZ KI

Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga Clatous Chama amenyoosha mikono juu na kumpa heshima kiungo mwenzake wa Yanga Stephanie Aziz Ki baada ya mchezaji huyo kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania bara jana kwenye usiku wa tuzo za TFF.

Chama ‘amepiga saluti hiyo’ kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kwa kuchapisha picha ya Aziz Ki yenye maneno MVP ikiwa na maana ya “Most Valuable Player” au mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button