Kiungo Mkabaji Jonas Gerald Mkude hatokuwa tena Sehemu ya Kikosi cha Yanga kwa Msimu Ujao na hii ni baada ya Kandarasi yake ya Mwaka Mmoja Kutamatika klabuni hapo,
Mazungumzo ya kuongeza Mwaka Mwingine yakianza ila Kocha Mkuu aliamua kusitisha na sasa Rasmi Wameachana nae.