Baada ya kuanza maisha mapya ya kazi ndani ya jiji la Madrid, mchezaji Kylian Mbappé atakuwa mmiliki wa gari mpya aina ya BMW I7 M70 kama ndinga yake mpya akiwa jijini humo.
Hata hivyo jambo la kuchekesha ni kwamba, Mbappe hataweza kuliendesha gari hilo la kifahari kwasababu hana LESENI.
Gari kama hilo linamilikiwa pia Rais wa Real Madrid Florentino Pérez.