Aziz Ki kuongeza mkataba

Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa nyota wa timu ya taifa ya Burkina Faso, Stephan Aziz Ki amekubali kusaini mkataba miaka miwili kusalia ndani ya Yanga SC.

Inaarifiwa kuwa nyota huyo amesaini Yanga SC licha ya kuwa na ofa kutokea Mamelodi Sundowns, Kaizer Chiefs na Zamalek.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here