KIMATAIFA

AZAM YAPOKEA KICHAPO CHA 4-1 KUTOKA KWA WYDAD CASABLANCA

Klabu ya Azam Fc imekubali kichapo cha 4-1 dhidi ya vigogo wa Morocco, Wydad Casablanca inayonolewa na aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns, Rulan Mokwena kwenye mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu mpya wa 2024/25.

Wydad AC 🇲🇦 4-1 🇹🇿 Azam Fc
âš½ Rayhi
âš½ El Habbach
âš½ Faidi
âš½ Elouardi
âš½ Sidibe (P)

Wanalambalamba wamehitimisha Pre Season wakionjeshwa ladha halisi ya ligi ya Mabingwa Afrika ambayo itawafanya wajue wanajipanga vipi kwa ajili ya michuano hiyo ambayo watashiriki msimu ujao

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button