Ahmed Ally Kuhusu Chama

“Wenye mamlaka ya kumzungumzia Clatous Chama kwa sasa ni Yanga SC, ndio wenye mchezaji, mimi kama msemaji wa Simba mamlaka ya kumzungumzia mchezaji huyo rasmi yamefika mwisho”

“Wale mliyokuwa mnampenda Chama,Chama ameshaondoka ndani ya Simba SC lakini wale waliyokuwa wanaipenda Simba,Simba bado ipo”

“Maana yake ni kwamba tunapaswa kuendelea kuishi na misingi yetu ileile tuliyokuwa tukiishi nayo zamani ya kuipenda na kuisapoti Simba yetu ”

“Simba ilikuwepo na itakuwepo ni sisi wana Simba sasa tukubali maisha mapya na inawezekana yakawa ndio maisha bora zaidi kuliko yale ambayo tungetamani kuendelea nayo tusiwe wanyonge”

Ahmed Ally – Afisa habari wa Simba SC.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here