Rashford PSG

Mabingwa wa Ufaransa PSG wanafikiria kurejea tena kwenye Dili la kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford endapo nyota huyo atataka kuondoka United.

Kuna minong’ono inaendelea inayosema kwamba huenda uongozi wa timu hiyo ukamuuza Rashford endapo itatokea ofa inayovutia sokoni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here