Lucas Bergvall raia wa Sweden (18), Kinda anayecheza nafasi ya kiungo rasmi amemwaga wino kwenye klabu ya Tottenham akitokea klabu ya Djurgarden, Sweden.

Katika siku yake ya kuzaliwa Februari, 02, rasmi amefanya maamuzi ya kujiunga na waajiri wake hao wapya ambao ataanza kufanya nao kazi mwishoni mwa msimu huu.

Kinda huyo ameigomea ofa ya muda mrefu kutoka kwenye klabu ya Barcelona nchini Uhispania na kuamua kutimkia zake Uingereza.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here