Augustine Okejepha

Inaelezwa kwa Orlando Pirates ya Afrika Kusini imeingilia kati dili la Augustine Okejepha wa Rivers United kuelekea Simba SC.

Taarifa za awali zinadai kuwa Orlando Pirates wameweka mezani kiasi Cha USD 200K sawa na zaidi Tsh million 522 ili kukamilisha dili hilo.

Huku Tayari Okejepha alishafikia makubaliano ya kujiunga na Simba SC.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here