Share Facebook Twitter LinkedIn WhatsApp Pinterest Email AZAM FC yatangaza ratiba yake ya ‘pre-season’ kuanzia tarehe 5 hadi mwishoni mwa Julai kuelekea Ngao ya Jamii. Kambi ya timu hiyo, wamepanga kwenda kuiweka nchini Morocco, lengo ni kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho.