KITAIFA
LIGI KUU BARA: MASHUJAA 0-1 YANGA
FT: LIGI Kuu Bara
Uwanja wa Lake Tanganyika
Mashujaa 0-1 Yanga
Goal Joseph Guede dakika ya 41.
Bao la Joseph Guede limedumu mpaka mwisho wa mchezo katika mzunguko wa pili msimu wa 2023/24.
Yanga imekomba pointi tatu mazima nakufikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 25.
Mashujaa wapo kazini Uwanja wa Lake Tanganyika kusaka pointi tatu dhidi ya Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara.
Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa wababe hawa kukutana uwanjani ambapo kila timu inahitaji pointi tatu muhimu.
Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza ilikuwa Yanga 1-0 Mashujaa, mchezo ulichezwa Uwanja wa Azam Complex.