mauaji uwanjani

Mwanaume mmoja ameshtakiwa baada ya kukutwa na hatia kutokana na mwanaume mwenye umri wa miaka 46 kutoka Uingereza na Nigeria kuchomwa kisu hadi kufa karibu na uwanja wa Tottenham Hotspur kaskazini mwa London.

Okechukwu Iweha alifariki baada ya kuchomwa Kisu huko Haringey, tarehe 7 Aprili 2024, Uchunguzi wa maiti uliofanyika Aprili 10 katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Haringey ulitoa sababu ya kifo kama jeraha la kisu kifuani.

Mshukiwa, Leandro Kaienga, 28, asiye na makazi maalum, alifikishwa kizuizini katika Mahakama ya Hakimu Willesden mnamo Jumatano, Aprili 24, 2024.Pia ameshtakiwa kwa kupatikana na kitu chenye ncha kali.

Polisi wa Metropolitan walimkamata Bw Kaienga mnamo Jumatatu, Aprili 22.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here