KIMATAIFA
DORTMUND YATINGA NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Borussia Dortmund imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 5-4 dhidi ya Atletico Madrid kwenye robo fainali.
FT: Dortmund 4-2 Atletico Madrid (Agg. 5-4)
Brandt 34′
Maatsen 39′
Fullkrug 71′
Sabitzer 74′
Hummels (og) 49′
Corea 64′
Dortmund itachuana na PSG kwenye nusu fainali.