MAKALA

DIARRA, AZIZ KI, HAWAPO KAMBINI

Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amesema bado wachezaji Stephan Aziz Kii na nyanda Djigui Diarra hawajaripoti kambini.

Kocha huyo ameeleza kuwa wachezaji hao walipaswa kuwa wamefika lakini imekuwa ndivyo sivyo hivyo kuna uwezekano akawakosa kuelekea mchezo wa kesho.

Nyota hao walikuwa kwenye majukumu ya timu za taifa na walitarajiwa kujiunga na kambi ya timu hiyo kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button