Meneja wa Habari na mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema kuwa endapo wakimfunga CR Belouizdad kwenye mchezo wa kundi lao kwenye kombe la klabu Bingwa Afrika basi watakuwa na uhakika wa kufuzu hatua ya Robo Fainali

“Kama tutamkanda hapa nyumbani mwarabu ni asilimia 70% itakuwa tumeshafuzu robo fainali ya CAF Champions League, kwa hiyo sisi Yanga SC ujuzi wetu na kila kitu chetu tukiielekeze mchezo wetu wa jumamosi, tunatakiwa kumfunga CR Belouizdad pale kwa mkapa basi.” amesema Kamwe

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here