Mashabiki wa Juventus walipia matangazo ya mabango yaliyoandikwa ‘Allegri Out’ sehemu mvbalimbali ikiwemo katika eneo la Times Square huko New York kutokana na mashabiki hao kutoridhishwa na matokeo ya timu yao

Baada ya Massimiliano Allegri kupata sare na kupoteza michezo miwili mfululizo, matokeo hayo yanamaanisha Juve wameachwa na pengo la alama 7, wakiwa nafasi ya pili, huku Inter Milan wakiwa kinara wa ligi wakiwa na alama 60 na wana mechi moja mkononi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here