Mtanange umetamatika, Yanga katika Ardhi ya nyumbani Tanzania anaibuka na ushindi mnono bele ya CR Belouizdad, ushindi wa mabao 4-0 katika uwanja wa Mkapa, Mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika.
Na ushindi wa Yanga unawafanya kujihakukushia kwenda katika hatua inayofuata ambapo katika msimamo wa kundi D ni Al Ahly points-9, Yanga SC points-8, CR Belouizdad points-5, Medeama poits-4.
Pacome day imetamatika wananchi wakitoka kifua, kuna wale wanaoingia makaziniJumatatu na ofisini hawaruhusu aina hiyo ya nywele.
Je wananchi kwani Breach mtakaanazo mpaka lini??