CR Belouizdad

Kuelekea mechi kati ya Yanga SC dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria, Mshambuliaji wa waarabu hao Lamin Jallow baada ya kutua Tanzania amesema kuwa wanaiheshimu Yanga kama ambavyo wanaiheshimu Al Ahly au Mamelodi kwani wanaendana ukubwa

“Tunafahamu Yanga nikubwa kama zilivyo Al Ahly au Mamelodi na ndio maana wachezaji wote ttuliokuja kwaajili ya mchezo huu ttuna ari ya kutafuta ushindi wa wakihisttoria hapa Tanzania..”

“Hali ya hewa kwetu sio changamoto unajua Afrika ni kama eneo moja, Mimi nimezaliwa Gambia na leo ndio mara yangu ya kwanza kufika ndani ya Tanzania lakini najihisi kama vile nipo kwetu.”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here