Zaidi ya nusu ya vilabu tajiri duniani kwa mapato vinatoka Ligi Kuu England, hii ni kutokana na uchambuzi wa Kampuni ya Deloitte.

Ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 26 ya utafiti huo kwa zaidi ya nusu ya vilabu kutoka ligi moja. Mabingwa Manchester City wamesalia kileleni, na kutengeneza Euro 731m (£619.1m), nafasi ya pili ni Real Madrid (euro 713.8m).

Liverpool wamepanda hadi nafasi ya tatu kutoka nafasi ya saba, huku Manchester United, Chelsea, Tottenham na Arsenal pia wakiingia kwenye 10 bora, huku West Ham, Leicester, Leeds, Everton na Newcastle wakiwa kwenye list ya vilabu bora duniani.

POSITION (LAST YEAR’S POSITION) CLUB 2021-22 REVENUE (£M) 2020-21 REVENUE (£M)
Manchester City 619.1 (731m euros) 571.1 (644.9m euros)
Real Madrid 604.5 (713.8m euros) 567.3 (640.7m euros)
Liverpool 594.3 (701.7m euros) 487.4 (550.4m euros)
Manchester United 583.2 (688.6m euros) 494.1 (558m euros)
Paris St-Germain 554 (654.2m euros) 492.5 (556.2m euros)
Bayern Munich 553.5 (653.6m euros) 541.4 (611.4m euros)
Barcelona 540.5 (638.2m euros) 515.4 (582.1m euros)
Chelsea 481.3 (568.3m euros) 436.6 (493.1m euros)
9 Tottenham Hotspur 442.8 (523m euros) 359.7 (406.2m euros)
10 Arsenal 367.1 (433.5m euros) 324.5 (366.5m euros)

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here