KITAIFA
-
AZAM YASAJILI WA KIUNGO AKITOKEA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA
Klabu ya Azam imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Mamadou Samake kwa mkataba wa miaka miwili akitokea kwa miamba ya…
Read More » -
MAHAKAMA YAKUBALI OMBI LA KLABU YA YANGA KESI KUSIKILIZWA UPYA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imekubali ombi la klabu ya Yanga ya kusogezwa mbele kwa muda…
Read More » -
APR YA RWANDA YAFIKA FAINALI ZA CECAFA
Klabu ya APR Fc ya Rwanda imetinga fainali ya CECAFA Kagame Cup kufuatia ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Al…
Read More » -
SIMBA YATAMBA KUSHUSHA MASHINE MPYA ZA KAZI
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa wachezaji wapya ambao wametambulishwa watafanya kazi kubwa kwa kushirikiana na wengine katika mechi za ushindani kitaifa na…
Read More » -
YANGA KAMILI KWA MECHI ZA KIMATAIFA AFRIKA KUSINI
NAHODHA msaidizi wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mechi zote za kirafiki kimataifa ambazo watacheza nchini Afrika Kusini ikiwa ni mwendelezo…
Read More » -
AUSTRALIA NA AFRIKA MASHARIKI WAIMARISHA UHUSIANO KUPITIA KOMBE LA AFRIKA MASHARIKI LA SOKA
Mchezaji wa Taifa Stars na klabu ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine, Novatus Dismas, akizungumza na vijana kutoka Kenya, Tanzania na…
Read More » -
TETESI ZA SOKA: Calafiori hatimaye kutua Arsenal kwa euro milioni 45
Klabu ya Arsenal wamefikia makubaliano na Klabu ya Bologna ya Italia kwa ajili ya kumnunua mchezaji Riccardo Calafiori. Riccardo anaondoka…
Read More » -
APR NDIO TIMU ITAKAYOCHEZA NA SIMBA, KWENYE SIMBA DAY 2024
Taarifa za uhakika zaidi zinaeleza kuwa Simba SC wanatarajia kukipiga dhidi APR kwenye siku ya tamasha la Simba Day. Tamasha…
Read More » -
MAMELODI WAWEKA MZIGO KUINASA SAINI YA FEI TOTO
Taarifa kutoka Afrika Kusini zimeripoti kuwa klabu ya Mamelodi Sundowns inajiandaa kutuma ofa ya pili kwa klabu ya Azam kwa…
Read More » -
SIMBA KAZI IPO HUKO, KOCHA KUANZA NA HILI
FADLU Davids Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kuwaandaa wachezaji kuwa tayari kwa ushindi kwenye mechi zao…
Read More »