KITAIFA
HIVI HAPA VICHAPO SABA VIKUBWA KWENYE KARIAKOO DABI

Vichapo vikubwa zaidi katika Kariakoo Derby…
Yanga 5 -0 Simba (1968)
Simba 6 -0 Yanga (1977)
Simba 4-1 Yanga (1994)
Simba 4-3 Yanga (2010)
Simba 5-0 Yanga (2012)
Simba 4-1 Yanga (2020)
Yanga 5-1 Simba (2023)