“Kwenye mpira hakuna kinachoisha Kwenye mchezo wa kwanza lakini angalau tuko sawa kwa ushindi wa magoli manne lakini akili zetu hatuwezi kuwa sawa kwasababu tulishinda magoli manne tunatakiwa kucheza kila mchezo kwa 100% na kujaribu kufanya vizuri mbele ya mashabiki zetu,”.
Kocha wa Yanga Sc, Miguel Gamondi akiongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa marudiano wa ligi ya Mabingwa dhidi ya Vital’O ya Burundi.