“Tumeiomba kamati itupe muda ili tuweze kupitia yale yaliyowasilishwa na Yanga, tunashukuru kamati imeridhia maombi yetu na tumeambiwa haitachukua muda hadi Agosti 20 kikao kitafanyika,”
.
“Kuhusiana na Kagoma kusaini mkataba na timu zote mbili hili naamini watu sahihi watakaotoa taarifa juu ya mkataba sahihi uliosainiwa na karatasi ya makubaliano ya awali. Ninachofahamu Kagoma ni mchezaji halali wa Simba, sio kila karatasi linalosainiwa ni mkataba, hili naomba nisilizungumze sana.
.
— Mwanasheria wa Simba, Hosea Chamba.