Klabu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Wolves katika dimba la Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu England huku Brighton ikiishushia Everton kipigo cha 3-0 na kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi huku ikiiporomosha Liverpool mpaka nafasi ya tatu. Arsenal ipo nafasi ya pili.
FT: Arsenal 2-0 Wolves
Havertz 25’
Saka 74’
FT: Everton 0-3 Brighton
FT: Newcastle 1-0 Southampton
FT: Nottingham Forest 1-1 AFC Bournemouth.