Aboubakar Khomeiny asajiliwa yanga

Yanga SC imetangaza kumsajili mlinda mlango Aboubakar Khomeiny kutoka Singida Black Stars.

Nyota huyo anaenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Metacha Mnata ambae ameaondoka ndani ya klabu hiyo.

Khomeiny aliwahi kucheza timu za Tanzania za vijana za U-20 na U-23, anakuwa mchezaji wa nne kutambulishwa na Yanga katika kipindi hiki cha usajili baada ya Clatous Chama, Prince Dube na Boka Chadrack.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here