‘Kwanza pale kwa Makolo ni kama shamba hivi ambalo halina mwenyewe unakwenda unavuna tuu tumezungumza na wenzet Azam FC ambao tunacheza nao Champions League next season na wao ndani ya siku saba watavuna mtu wao pale”.
“Ndani ya siku saba Azam FC watakwenda kwenye Shamba lisilokuwa na mtu watavuna na wao mtu kwa ajili ya maandalizi ya kwa ajili ya maandalizi ya Champions League”.
Ally Kamwe, Afisa Habari wa Yanga SC Ikumbukwe kuwa Azam FC wamekuwa wakihusishwa kumrejesha mlinda mlango wao wa zamani Aishi Manula.