KITAIFA
JEZI MPYA YA SIMBA 2024/2025 YAMFIKIA WAZIRI MKUU

Jezi ya msimu mpya wa Ligi 2024/2025 ya Simba iliyobatizwa jina la Ubaya Ubwela, imemfikia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye amekabidhiwa leo na Mwakilishi wa Sandaland, Hamis Mluba Mjini Dodoma wakati wa Marathon ya NBC DODOMA MARATHON.