aziz

Yanga umepata wakina Aziz wawili mafundi kwelikweli wanajua boli wanatimiza majukumu yao ipasavyo Stephan Aziz Ki na Aziz Andambwile.

Mmoja amezaliwa kule mkoani Mbeya ambapo mafundi wengi wa Boli wametokea huko na ni mzuri kwenye eneo la kiungo mzuiaji au kiungo wa kati

Mwingine amezaliwa pale Abidjan Ivory Coast lakini akaamua kuitumikia timu ya taifa ya Burkina Faso ni fundi zaidi akitokea upande wa kulia na hatari alicheza nyuma ya mshambuliaji.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here