Katika mahojiano aliyoyafanya na Mundo Deportivo, mlinzi wa Uhispania Marc Cucurella aliahidi kupaka nywele zake rangi nyekundu ikiwa Hispania itashinda Euro.
Taarifa ni kwamba Marc Cucurella ametimiza ahadi yake kwa kupaka nywele zake rangi kama aliyoahidi.