KITAIFA
AZAM FC KAMA MANCHESTER UNITED YATOLEWA KOMBE LA FA

Azam FC imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (kombe la FA πΉπΏ) kufuatia kipigo cha penalti 4-2 dhidi ya Mbeya City katika dimba la Azam Complex, Chamazi kwenye hatua ya 32 bora ya michuano hiyo. Mbeya City imetinga hatua ya 16 bora.
FT: Azam FC 1-1 Mbeya City
β½ 90+4β Yahya Zayd
β½ 65β Lukandamila
PENALTI:
Azam FC: β β ββ
Mbeya City: β β ββ β