Chama Kujiunga Yanga

inaelezwa ya kwamba Clotaus Chama anatarajiwa kusaini mkataba wa kujiunga na Yanga SC June 30 siku ambayo mkataba wake na Simba SC utakuwa unamalizika.

Za ndani kabisa zinaeleza nyota huyo alishafikia makubaliano ya kujiunga wananchi toka January mwaka huu na anaenda kuwa mchezaji anaelipwa fedha nyingi zaidi Yanga SC nyuma ya Stephan Aziz Ki, huku akisaini mkataba wa Mwaka Mmoja wa kuwatumikia wanajangwani hao.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here