Ali Kamwe aziz ki

“Aziz Ki ni kweli anamaliza mkataba wake lakini kwa hapa sioni kama kuna timu ambayo Aziz anaweza kucheza, Aziz anahitajika na timu nyingi kwa hizi timu za Afrika Kusini Aziz hawezi kucheza na watu wanaofanya dhuluma namna ile”

“Ziko ofa nyingi lakini kubwa ambalo naweza kuwaambia wanayanga, wachezaji bora ambao wamewaona kwenye kikosi chetu wanasalia kwenye kikosi chetu”

Maneno ya Afisa habari wa Yanga SC amesema alikamwe akielezea kuhusu mkataba wa Aziz Ki na klabu ya Yanga.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here