Timu ya Manchester City kutoka Uingereza inatajwa kwamba wako tayari kutumia £120m kumsajili mshambuliaji wa Ujerumani, Jamal Musiala anayekipiga katika klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani
City wanamtaka Musiala ili kukiongezea nguvu kikosi chao ambacho zipo tetesi huenda msimu ujao wakamuuza mshambuliaji wao hatari Erling Haaland anayewindwa na Real Madrid.