Mwanariadha raia wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya tatu kwenye mbio za Daegu [ Daegu Marathon ] zilizofanyika leo nchini Korea Kusini.

Simbu ametumia  masaa 2:07:55 kumaliza mbio hizo Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy mutai ; 2:07:40 na tatu Alphonce Simbu ; 2:07:55.

Baada ya hapa ataanza maandalizi ya mbio za kawaida kama sehemu ya kujiandaa na Olympic  2024 nchini Ufaransa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here