yanga

Kile ambacho alikifanya Kocha wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi akiwa na Wananchi ameendeelea kukifanya kule Morocco akiwa na FAR Rabat.

Hadi sasa FAR Rabat wanaongoza Ligi kuu ya Morocco (Botola Pro) wakiwa na alama 64 baada ya mechi 26 na tayari wameshakata tiketi ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL kwa msimu ujao.

Kocha Nasreddine Nabi anahitaji pia ushindi wa mechi 3 tu ili aweze kuwa bingwa wa Morocco msimu huu ambapo atafikisha alama 73.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here