NI raundi 16 kwa sasa imefika kwenye ushindani wa mashindano ya CRDB Federation Cup iliyobadilishwa jina rasmi Aprili 2 2024 baada ya mdamini mkuu kupatikana. Ikumbukwe kwamba awali mashindano hayo yalikuwa yanaitwa Azam Sports Federation.
Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi hii hapa ratiba kamili itakavyokuwa kwa kila timu kusaka ushindi namna hii:-
Aprili 3 2024
Geita Gold v Rhino Rangers
Aprili 4 2024
Singida Fountain Gate v Tabora United
Aprili 5 2024
Coastal Union v JKT Tanzania
April 6 2024
KMC v Ihefu
Aprili 7 2024
Azam FC v Mtibwa Sugar
Aprili 9 2024
Mashujaa v Simba
Aprili 10 2024
Dodoma v Yanga