Xabi Alonso

Xabi Alonso anasema atasalia katika nafasi yake kama meneja wa Bayer Leverkusen msimu ujao kwani anaamini klabu hiyo ndio “mahali pazuri” kuwa kama kocha mchanga.

Mhispania huyo amekuwa akihusishwa pakubwa na klabu ya Liverpool tangu Jurgen Klopp aliposema atajiuzulu mwishoni mwa msimu huu pamoja na Bayern Munich, ambayo meneja wake Thomas Tuchel pia ataondoka mwishoni mwa msimu pia

“Nina hakika ni uamuzi sahihi, nina furaha,” alisema Alonso ambaye aliongeza kuwa amewaarifu wakurugenzi wa Leverkusen kuhusu uamuzi wake wa kusalia katika klabu hiyo wiki iliyopita.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here