Kocha Luis Castro wa klabu ya Al Nassr nchini Saudi Arabia, amethibitisha kuwa mchezaji nyota Cristaino Ronaldo (38) ataikosa mechi ya kirafiki dhidi ya Inter Miami ya Marekani kutokana na kuendelea na matibabu ya majeraha yake.

Mechi hio ya kirafiki itachezwa Februari, 01 katika mji wa Riyadh, Saudi Arabia. Ikumbukwe kuwa klabu ya Inter Miami ndiyo klabu anayochezea mshindani wake wa soka kwa muda mrefu Lionel Messi (36) kwa sasa.

Je, Ronaldo ameiogopa mechi?

Messi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YA SOKALEO, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here