LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuendelea leo Februari 23 kwa timu kushuka uwanjani kusaka ushindi ndani ya uwanja katika dakika 90.
Wababe ASEC Mimosas watakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa nchini Ivory Coast.
Kwenye mchezo uliopita walipokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas walipogawana pointi mojamoja.
Al Hilal itakuwa dhidi ya Petero Atletico
Medeama SC dhidi ya Al Ahly
ASEC Mimosas dhidi ya Simba SC