KITAIFA
-
KWA HESABU HIZI SIMBA KUFUZU ROBO FAINAL NI KAMA KUMSUKUMA MLEVI TU
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, anajiandaa kukamilisha hesabu za hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kikubwa huku Wekundu…
Read More » -
YANGA WATUPA DONGO KIMTINDO UNYAMANI ISHU YA KIMATAIFA
“Kuna timu ambayo ipo kwenye mashindano na ina pointi 9 inaweza isitinge hatua ya robo fainali,” moja ya kauli ya…
Read More » -
GADIEL MICHAEL AITOSA CHIPA UNITED
BEKI wa kushoto wa kimataifa wa Tanzania 🇹🇿 Gadiel Michael ameachana na Chippa United ya Afrika Kusini huku sababu za…
Read More » -
HIZI HAPA HESABU ZA RAMOVIC KUFUZU ZIPO SAWA
Kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema hadi sasa hesabu za timu hiyo kutinga Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa…
Read More » -
SAIDO ATOA MASHARTI YA KUTUA KENGOLD
Wakati mabosi wa KenGold wakipigia hesabu za kumsainisha aliyekuwa kiungo wa Yanga na Simba, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, nyota huyo…
Read More » -
YANGA YAKARIBIA KUKAMILISHA USAJILI WA KUMSHAANGAZA NCHI
Klabu ya Yanga imeweka wazi kuwa iko mbioni kukamilisha usajili mkubwa ambao unatarajiwa kuleta gumzo ndani na nje ya nchi.…
Read More » -
YANGA WATIA NENO JUU YA ‘FEI TOTO’, SAFARI SASA IMEIVA
Nyota wa Yanga, Max Nzengeli na Khalidy Aucho, wamejitokeza kumpongeza kiungo wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania,…
Read More » -
HII HAPA HATMA YA YANGA KUFUZU ROBO FAINALI, WAKIFELI NDIO BADI TENA
Kocha wa Yanga, Sead Ramovic, amesisitiza kuwa mechi dhidi ya TP Mazembe itakayochezwa Jumamosi, Januari 4, ndiyo itakayoamua mustakabali wa…
Read More » -
KAMA KWELI HAWAJAMLIPA, TAIFA LIINGILIE KATI
Mshambuliaji na mchezaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Al Talaba ya Iraq, Simon Msuva amesema bado hajaingiziwa pesa zozote kutoka…
Read More » -
AHMED ALLY ATAMBA NA USAJILI WA SIMBA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ameweka wazi kuwa usajili wao mpya wa Ellie Mpanzu umejibu kwa…
Read More »